Duke Abuya is my only player kwasasa japo wengi wanampenda Pacome, Abuya kakiwasha mno kwenye derby na kuwatoa kamasi Msimbazi , akiwadhibiti mno, huyu si wa kumtoa Yanga kwasasa, acha hizo basi, mtu akiwadhibiti makolo tu lazima fitna zianze, hata Feitoto alipowalaza Simba na viatu kule kirumba shida ikaanza.